Reverend Joyce Msuya

Welcome

I humbly invite you to worship at our KILOSA KKKT parish and that you will enjoy being at our church. I furthermore hope that you will be able to fully experience your good relationship with God, we have Sunday services and other normal day’s services through the guidance and obedience to the Word of God by conducting the real life of Christ. Thank you.

Vision

A communion of people rejoicing in love and peace; blessed spiritually and physically, hoping to inherit eternal life through Jesus Christ.

Mission

To make people know Jesus Christ and have life in it fullness by bringing to them the Good News through words and deeds based on the Word of God as it is in the Bible and the Lutheran teachings guided by the ELCT Constitution.

Word Oriented

We are obedient to the Word of God

Church Projects

Ujenzi wa Shule(English Medium)

Tuna ujenzi wa shule kubwa itakayotoa huduma kwa lugha ya Kingereza(English Medium School)

Shule ya awali

Elimu ni moja kati ya sehemu muhimu, Sanaa katika jamii, na kwa kulitambua hilo kanisa Kanisa lilianzishia Darasa la awali katika mfumo wa Kiingereza mwaka 2005 Ambapo wakati huo Mchungaji Kiongozi alikuwa....

Hotel

Pia kanisa linamiliki mradi wa Hotel unaopatikana eneo lilipokaribu na kanisa. Mradi huu unatoa huduma ya chakula na vinywaji kwa siku sita yaani jumatatu hadi...

Hostel

Kwa kutambua umuhimu wa kuwa na vitega uchumi vingine kuweza kusaidia matoleo ya kanisa, wakristo wa usharika huu walifikia maamuzi ya kuanzisha mradi wa hostel ambao unapatikana ....

Matukio(Events)

Ujenzi wa Shule

Tunaendelea na ujenzi wa shule

Mikaeli na Watoto(2023)

Joanitha akitoa neno siku ya mikaeli na watoto 08.10.2023

Shule ya Msingi(2023)

Moja wa watoto akifanya orientation kwa wanafunzi wenzake kabla ya kuanza vipindi