Joanitha akitoa neno siku ya mikaeli na watoto 08.10.2023
kwaya ya KKKT Kilosa ikihudumu jumapili ya mavuno
Kwaya ya KKKT Kilosa mjini ikihudumu katika siku ya mavuno
kwaya ya KKKT Tuliani wakihumu jumapili ya mavuno
Kwaya ya watoto wakihudumu siku ya mikaeli na watoto 08.10.2023
Kwaya ya watoto wakiwa ibadani siku ya mikaeli na watoto
Moja wa watoto akifanya orientation kwa wanafunzi wenzake kabla ya kuanza vipindi
Mwalimu akifanya orientation kwa wanafunzi kabla ya kuingia darasani
PF akifanya orientation kwa wajumbe kuhusu project circle
Praise team KKKT kilosa wakihudumu katika jumapili ya mavuno 01.10.2023
Sadaka ya mavuno ya tarehe 01.10.2023
Wajumbe wakibainisha vipaumbele kwa ajili ya maendeleo ya kijana na mtoto katika project circle program
Wajumbe wakiwa kwenye majadiliano kubaini changamoto za watoto katika dhana ya project circle
Watoto wakielezea mistari ya moyo siku ya Mikaeli na watoto