Kwa kupitia Ushirika wenza Kanisa na COMPASSION TANZANIA tumefungua kituo cha Huduma ya Mtoto kilichopewa namba ya Usajili TZ0267 ambapo utaratibu huu ulianza tarehe 12.12.2016 ikiwa na watoto 189, na hivi sasa kituo kina jumala ya Watoto 238. Hata hivyo Kupitia Usharika Wenza Kanisa limefanikiwa kujenga Madarasa manne(4) na Ofisi ya Watendakazi, Kuchimba Kisima cha Maji, Madarasa hayo yalizinduliwa tarehe 30.10.2018 na Askofu wa Dayosisi ya Morogoro Jocob Mameo Ole Paul.
Visit Compassion Tanzania