Hotel

MRADI WA HOTEL

Pia kanisa linamiliki mradi wa Hotel unaopatikana eneo lilipokaribu na kanisa. Mradi huu unatoa huduma ya chakula na vinywaji kwa siku sita yaani jumatatu hadi jumamosi, isipokuwa jumapili ambayo ni siku ya ibada. Kanisa umejenga Jengo ambalo ni Hoteli ambayo Ujenzi wake ulianza Mwaka 2009 chini ya Mchungaji George Pindua na Kuendelezwa na Mchungaji Frank Bogasi 2011 hata Kufunguliwa mnamo tarehe 30.11.2014 na Askofu wa Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paul mradi huu umeendelea kufanya kazi.

PICHA ZAIDI