Ratiba za Ibada

Ratiba za Ibada

Usharika umeendelea kutoa huduma za Kiroho kwa nyakati zote hadi hivi sasa, Usharika una jumuiya 9 ambazo ni Jumuiya ya Kanisani, mjini, kasiki, bomani, kichangani, manzese A, manzese B, manzese C, manzese D na mtaa Mmoja wa Rozi.

# Jina la Kipindi Idadi Siku Muda
1 Ibada za kila Jumapili 2 Jumapili Saa 1:00 - 2:30 ASUBUHI
Saa 4:00 - 5:30 ASUBUHI
2 Shule ya Jumapili 1 Jumapili Saa 2:30 - 3:30 ASUBUHI
3 Faragha 1 Jumapili Saa 10:00 -12:00 JIONI
4 Maombi 1 Jumatano Saa 10:00 -12:00 JIONI
5 Bible Study 1 Ijumaa Saa 11:00 -12:00 JIONI
6 Morning Glory 1 Jumatatu - Ijumaa Saa 12:00 - 12:45 ASUBUHI
7 Jumuiya 1 Jumamosi Saa 12:30 - 1: 30 ASUBUHI