Elimu ni moja kati ya sehemu muhimu, Sanaa katika jamii, na kwa kulitambua hilo kanisa Kanisa lilianzishia Darasa la awali katika mfumo wa Kingereza mwaka 2005 Ambapo wakati huo Mchungaji Kiongozi alikuwa ni Mchungaji Emmanuel Tengeneza alifanikiwa kujenga Darasa Moja na Ofisi ya Walimu, Mradi huu unaendelea kufanya kazi na uanzishwaji wa shule Msingi mwaka January 2021 ambayo hufahamika kwa jina la Penuel pre and primary English medium school. Baadhi ya madarasa ya shule hii hasa ya Awali hupatikana karibu na eneo la kanisa na mengine yanayoendelea kujengwa eneo la Myombo barabara ya kuelekea Mikumi kilomita 13 kutoka Usharika wa kilosa mjini. Shule hii kwa sasa ina takribani wanafunzi 70. Baby class 36, junior class 11, senoir class 15 na standard one 8. na jumla ya walimu 5 kuanzia darasa la awali hadi darasa la kwanza.